Azam Sport

Azam Sport

Chaneli hii ya Azam itaanza kuonyesha matangazo nusu saa kabla ya mechi, ikijumuisha uchambuzi wa kina, mahojiano na makocha, pamoja na taarifa muhimu kuhusu vikosi vya timu zinazoshiriki. Usikose kujiunga nasi mapema ili kupata dondoo zote muhimu kabla ya mpambano kuanza!